Pages

Loading...

Wednesday, June 18, 2008

Kuna mambo Mombasa!

Huko Mombasa, bibi mmoja alimshtaki mumewe kwa kadhi eti kila wakati anamkula nyuma na huwa hali mbele hata kidogo. Kadhi akawaalika mbele yake waje watatue shida iliyoko kitandani, naye kadhi akamwuliza mzee "Ni kwa nini huli mbele, saa zote wala nyuma?"

Mzee akamjibu "Kadhi sijui kama amekuelezea kuwa mimi ni mgonjwa; nina ugonjwa wa sukari, na daktari alinionya dhidi ya kula vitu vitamu vitamu. Sasa ina nibidi nile nyuma maana mbele ni kutamu mno!"

1 comment:

kelitu said...

Kwani akimla huko nyuma hakuna utamu?

that was hilarious. Shukrani!