Pages

Loading...

Friday, July 11, 2008

KTN Leo

Swaleh: Jamaa mpenda wake za watu siku moja alikuwa akila uroda na mke wa jirani mtaa wa pili usiku wakati mumewe hayupo. Ghafla, mume karudi na kuanza kupigahodi mlango wa mbele. Mke kusikia mumewe karudi, kahamaki na kukimbilia kumtoa jamaa kupitia mlango wa nyuma. Jamaa alikurupuka mbio, akaruka ukuta akiwa uchi wa mnyama, akakimbia hadi nyumbani kwake. Alipofika kwa mkewe, akamwambia kapigwa na majambazi njiani wakamvuanguo zote na kumwibia kila kitu. Mkewe akamwambia: "Pole mpenzi lakini hawa majambazi si watu wema kabisa! Yaani wamekuvua nguo zote na kukuvalisha condom?"

Swaleh (bursts out laughing): Naam; nikipiga tama la maji, nawe ukitafakari hayo, ebu tupate kibwagizo cha leo...

1 comment:

Anonymous said...

kikulacho kweli...