Skip to main content

Featured

There's a Deeper Level to this Conversation: As You Tear At Each Other About Who's Sponsoring the Gen Z Protests, or Even if They're Sponsored at All, Watch These Three Videos and Let Me Know What You Think...

The Legacy of Fear: How the Shadow of Jaramogi Oginga Odinga Shaped Kenya's Political Landscape In the annals of Kenya's political history, the events of 1969 stand out as a defining moment marked by fear, coercion, and manipulation. The political tension surrounding Jaramogi Oginga Odinga's candidature led to a series of oath-taking ceremonies in Gatundu that forever altered the fabric of Kenyan society. Understanding this historical context is crucial, especially when contemporary politicians attempt to invoke these dark chapters for political gain. The Fear of Jaramogi and the Birth of the Gatundu Oath The roots of the infamous Gatundu oath can be traced back to the fear and propaganda surrounding Jaramogi Oginga Odinga, the former vice-president and then-leader of the opposition. By 1969, the political landscape in Kenya was charged with tension. The assassination of Cabinet Minister Tom Mboya on 5th July 1969 had already set a volatile backdrop. Within this context, Pr...

Let's keep it peaceful, folks


UHURU: Manze RAO, sa ile risto ya skype ilicome how? Haikunibamba walahi...

RAILA: Sasa we Uhunye nikuulize, we unadai unidiss alafu mi kazi yangu, eeh, ni kucheka tu na kulenga sindio? We nisho, molasses inaingia aje? Hiyo stingo ulitoa wapi budaa, za ovyo utaacha!

UHURU: Ooh, ni hivo eh? Ni kutoana rangi eeh? Wazi wazi, haina ngori. No wonder madem wanakulenga wananikamia.

RAILA: Ati? Loool! Ati Ngilu na Shebesh? Ha ha ha... buuda, hapo umejiwaste kuruka, hizo maganda za miwa ndo unasema? Watakumanga mkwanja ushangae!

UHURU: RAO, acha hizo mtu nguyaz; dem ni dem. Mistari ya-mine imekutoa. Kubali yaishe!

RAILA: Yenyewe ka ni hao, afadhali nibaki single mzeiya! Na nikuulize, kwani uliduia nini mademoni? Huyo msee hakunice!

UHURU: Na wewe ulimfanyiaga nini? Si alikublock FB akanisendia friend request mara ya fao. Lakini huyo boyz ako tu na zake. Ati anadai akam, halafu ati sasa ye ndo akuwe baba yao, imagine! Amechizi ninii?

RAILA: He he... lakini si unajua baba yao ni nani?

UHURU: Ha ha ha... ati wewe? Ha ha ha... jokes utaacha! Lool!

Comments

Popular Posts